Wanafunzi Mlinwa wapaza sauti kupata lishe mashuleni

Utolewaji lishe kwa wanafunzi mashuleni huongeza ufaulu wa wanafunzi nchini. Wanafunzi wa shule ya msingi Mlinwa waki hamasisha wazazi, serikali na wadau mbalimbali kusaidia lishe kutolewa mashuleni wakati wa uzinduzi wa bwalo la kisasa la chakula lililojengwa na CDTF kwa kushirikiana na KKKT, Serikali na wananchi kwa ufadhili wa OBA. Pia walimkaribisha Mgeni rasmi kuzindua […]

Tunashiriki kuhamasisha lishe mashuleni, kuinua ubora wa elimu

Viongozi wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii (CDTF) Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Henry Mgingi (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya CDTF Mhandisi Leon Msimbe (kulia) wakijadiliana jambo walipokuwa shule ya Msingi Mlimwa kushirikiana na viongozi wa serikali, wananchi na wadau mbalimbali kwenye uzinduzi wa bwalo la chakula na lengo likiwa ni kuhamasisha lishe mashuleni […]