CDTF na maendeleo ya sekta ya elimu- Mvomero

Taasisi ya Maendeleo ya Jamii (CDTF) mwaka 2016/17 ilishirikiana na wananchi wa kijiji cha Maguruwe kata ya Bunduki Wilaya ya Mvomero kujenga madarasa matatu na ofisi ya Walimu  shule ya msingi Maguruwe ili kuchochea na kuboresha sekta ya elimu . Wanafunzi katika shule ya msingi Maguruwe walikuwa wakisomea katika madarasa yenye miundombinu isiyoridhisha kulinganisha na […]

CDTF , YACHANGIA VIJANA KUJIAJIRI

Taasisi ya Maendeleo ya Jamii (CDTF) huwawezesha wananchi hususani vijana kushiriki katika shughuri za uchumi ili wajikwamue na umasikini uliokithiri. Mwanzoni mwa mwaka 2019 uongozi wa CDTF uliamua kuanzishwa kwa mfumo wa kuweka na kukopa (revolving fund) ili kuwajengea uwezo vijana kushiriki kwa vitendo katika kujikwamua kiuchumi. Mfumo huu kwa sasa unawezesha kuwakopesha vijana pikipiki […]